Hatua kubwa mbele ya ulinzi wa watoto nchini Kolombia, kwani wanasiasa wanapiga marufuku ndoa za watoto wachanga – Global Issues

Mnamo Novemba, kufuatia majaribio kadhaa yaliyoshindwa, wanasiasa wa pande zote waliidhinisha mswada wa kurekebisha sheria ambayo imekuwa ikitumika tangu 1887, ikionyesha mazoea yenye mizizi ambayo inakiuka haki za watoto na vijana: kulingana na Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) msichana mmoja kati ya watano wenye umri kati ya miaka 14 na 18 yuko…

Read More

Baada ya sikukuu, ada pasua kichwa

Baada ya shamrashamra za sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya, wazazi wengi wamejikuta wakikumbana na hali ngumu ya kifedha. Kwa walio wengi, Januari ni mwezi wenye vilio, na mikasa ya kudaiana kwa familia nyingi. Wakati watoto wakitarajiwa kurudi shuleni, wazazi hukosa fedha za kutosha kukidhi mahitaji ya watoto wao. Katika miji mikubwa kama Dar es…

Read More

Tutayakumbuka haya mwaka 2024 katika elimu

Mwaka 2024 unatamatika leo ukiacha kumbukumbu muhimu za matukio kadhaa ya elimu yanayoufanya kuwa mwaka wa kipekee katika historia ya sekta ya elimu nchini. 2024 ndio mwaka ambao pamoja na mengineyo Taifa limeshuhudia kuanza kwa utekelezaji wa mtalaa mpya wa elimu ya amali kwa baadhi ya shule za sekondari. Oktoba 10 mwaka 2023, Waziri wa…

Read More

Jaji Werema kuzikwa Januari 4 Butiama

Dar es Salaam. Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema anatarajiwa kuzikwa Jumamosi Januari 4, 2025 Butiama mkoani Mara. Ratiba rasmi ya mazishi iliyotolewa na familia yake ambayo Mwananchi imeiona imeeleza kuwa, Januari 1, 2025 ibada ya kumuombea marehemu itafanyika katika Kanisa la Mtakatifu Martha, Mikocheni jijini Dar es Salaam kuanzia saa 9 alasiri….

Read More

Afisa wa Umoja wa Mataifa aonya dhidi ya kuongezeka zaidi huku kukiwa na mashambulizi katika Yemen, Israel na Bahari Nyekundu – Masuala ya Ulimwenguni

Muhtasari wa Baraza la Usalama mjini New York, Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Mashariki ya Kati, Asia na Pasifiki, Khaled Khiari, alionya kwamba Mashariki ya Kati inashuhudia ongezeko jingine la hatari. Amesema mashambulizi ya Israel na Yemen na vilevile katika Bahari Nyekundu yanatia wasiwasi mkubwa na kuonya kwamba kuongezeka zaidi kwa kijeshi kunaweza kuhatarisha uthabiti…

Read More