Serikali yapata hasara ya Sh79 bilioni bunifu za vijana

Dar es Salaam. Katika kuhakikisha Serikali inainua vijana kupitia bunifu zenye tija, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete amekiri Serikali kuingia hasara ya Sh79 bilioni zilizotolewa kusaidia bunifu za vijana nchini. Amesema hasara hiyo imesababishwa na vijana kuchukua fedha ili kuwekeza kwenye bunifu zao na baadaye…

Read More

BARABARA YA ITONI-LUSITU HAIJATELEKEZWA,RASILIMALI ZILIENDA KUSAIDIA MAENEO HATARI – MBUNGE MWANYIKA

Wakati wasiwasi ukitanda kwa wananchi wa halmashauri ya mji wa Njombe na Ludewa kutokana na mkandarasi anayejenga barabara kuu ya kuelekea wilayani Ludewa kipande cha Itoni – Lusitu kwa kiwango cha zege kusimama ujenzi kwa takribani mwaka mmoja mpaka sasa,Mbunge wa Jimbo la Njombe mjini Deodatus Mwanyika amewatoa hofu wananchi na kueleza kuwa ujenzi utaendelea…

Read More

Simba yaizima Kagera, yarudi kileleni kibabe

WANASIMBA walikuwa wakisubiri kwa hamu kubwa kumshuhudia nyota mpya, Elie Mpanzu ambaye jioni ya leo alitumia dakika 57 pekee kuonyesha umwamba wakati Simba ikishinda mabao 5-2 dhidi ya Kagera Sugar na kurejea kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara. Mpanzu aliyetambulishwa Simba, Septemba 30 mwaka huu akitokea AS Vita ya DR Congo, leo akiwa na…

Read More

Utata mtoto aliyefia kwenye shimo la choo

Dodoma. Utata umeibuka kuhusu mtoto Emmanuel Elias, mwenye mwaka mmoja na nusu kutumbukia kwenye shimo la choo, baada ya mama yake kukuta karatasi mlangoni kwake ikimuarifu kuhusu tukio hilo. Mwili wa mtoto huo uliopolewa jana usiku Desemba 20, 2024 na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji katika shimo la choo ambacho kinatumiwa na familia zaidi ya…

Read More

Mastraika Pamba ni suala la muda tu

CHANGAMOTO ya ufungaji Pamba Jiji huenda sasa ikapata mwarobaini baada ya kocha mkuu wa timu hiyo, Fred Felix ‘Minziro’ kuahidi ujio wa baadhi ya nyota wazoefu na mipango anayoendelea kusuka itatoa suluhu ya tatizo hilo wakati duru la pili la Ligi Kuu kilianza keshokutwa. Pamba inayokamata nafasi ya 13 katika msimamo wa Ligi Kuu, imefunga…

Read More

Yunus: Mambo Safi Msumbiji | Mwanaspoti

KIUNGO Mtanzania, Yunus Abdulkarim, anayecheza soka la kulipwa Msumbiji akiwa na timu ya Nacala, ameelezea uzoefu alioupata msimu uliopita, alipocheza kwa mara ya kwanza Ligi ya Mocambola. Yunus, aliyeonyesha kiwango cha juu uwanjani akifunga mabao matatu msimu huo, akiungana na wachezaji wengine muhimu wa Nacala. “Msimu uliopita ulikuwa na changamoto nyingi, lakini ulikuwa na mafanikio…

Read More

Mbowe: Bado nipo Chadema, nitagombea uenyekiti

Dar es Salaam. Sasa ni rasmi, Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe atagombea tena nafasi hiyo akitarajiwa kukabiliana na Tundu Lissu kwenye uchaguzi wa mwenyekiti wa chama hicho katika uchaguzi utakaofanyika Januari 2025. Hatua hiyo imekuja baada ya Mbowe kutangaza msimamo huo, baada ya kutafakari kwa saa 48 alizojipa na kisha kusema kuwa atagombea tena nafasi…

Read More

Siku 10 zasalia ahadi ya mabasi Dart

Dar es Salaam. Zikiwa zimesalia siku 10 kuhitimisha Desemba iliyoahidiwa kuwasili mabasi ya mwendo wa haraka, Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (Dart), umesema suala hilo lipo Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), ambaye naye ameeleza litakamilika ndani ya Desemba. Akizungumza na Mwananchi kuhusu utekelezaji wa agizo la Serikali kuwa mabasi hayo yawe yamewasili Desemba,…

Read More