
Mgambo aliyepoteza mguu tukio la kumkamata mtuhumiwa, aomba msaada
Dodoma. Mwenyekiti wa Kitongoji cha Ilingo, Kijiji cha Msagali kilichopo Wilaya ya Mpwapwa, Alex Chikumbi ameomba Serikali na wadau kusaidia matibabu ya mgambo, Masimo Nyau, aliyejeruhiwa katika tukio la mauaji ya polisi wawili na mtuhumiwa wa unyang’anyi, Atanasio Malenda. Katika tukio hilo lilitokea Desemba 18, 2024, askari D/Koplo Jairo Boniface Kalanda na PC Alfred John…