
Kilimanjaro yatumia Sh17 bilioni maandalizi ya masomo Januari 2025
Moshi. Wakati wanafunzi 30,901 wakitarajiwa kujiunga kidato cha kwanza Januari 2025, Serikali ya Mkoa wa Kilimanjaro imesema maandalizi ya kuwapokea wanafunzi hao yamekamilika, huku zaidi ya Sh17 bilioni zikitumika kuboresha miundombinu ya madarasa, mabweni na ujenzi wa shule mpya 14. Akizungumza na Mwananchi, Katibu Tawala wa Mkoa huo, Yusuf Nzowa amesema hakuna changamoto yoyote ya…