
Siri Wachaga kwenda ‘kuhesabiwa’ mwisho wa mwaka
Moshi. Unapoutaja Mkoa wa Kilimanjaro, wengi watauwaza Mlima Kilimanjaro ambao ni mrefu barani Afrika, uliobeba jina la Mkoa huo. Hata hivyo, yapo mengi ya kujionea, mtu afikapo katika mkoa huo,ambao unatajwa kuwa na maendeleo katika nyanja mbalimbali. Mkoa huo wenye mandhari nzuri ya kuvutia, watu wenye ukarimu na utajiri wa utamaduni wa kipekee, licha ya…