2024 Ndio Mwaka Moto Zaidi Kuwahi Kurekodiwa – Masuala ya Ulimwenguni

Msichana mdogo akijaribu kuvuka barabara iliyofurika nchini Bangladesh kufuatia kimbunga Remal. Bangladesh ni mojawapo ya mataifa yanayoathiriwa zaidi na hali ya hewa duniani na inatarajiwa kuathiriwa pakubwa na ongezeko la joto duniani. Credit: UNICEF/Farhana Satu na Oritro Karim (umoja wa mataifa) Ijumaa, Desemba 20, 2024 Inter Press Service UMOJA WA MATAIFA, Desemba 20 (IPS) –…

Read More

Simulizi mauaji ya polisi, mtuhumiwa Dodoma

Dodoma. Mwenyekiti wa Kitongoji cha Ilingo, Kijiji cha Msagali wilayani Mpwapwa, Alex Chikumbi amesimulia ilivyokuwa wakati wa tukio la mauaji ya askari polisi wawili na mtuhumiwa wa unyang’anyi, Atanasio Malenda. Tukio hilo lilitokea Desemba 18, 2024, wakati Koplo Jairo Kalanda na Konstebo Alfred John walipokwenda kumkamata mtuhumiwa huyo. Chikumbi amesema askari walikuwa wamejipanga kumkamata Malenda…

Read More

MCT yaja na mfumo mpya tuzo za Ejat, wadau waujadili

Dar es Salaam. Baraza la Habari Tanzania (MCT) limeahirisha ufunguzi wa dirisha la Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari Tanzania (Ejat) mpaka Aprili, 2025. Dirisha hilo ambalo hufunguliwa kati ya Novemba na Desemba kila mwaka, limeahirishwa, ili kufanya utafiti wa namna bora za kupata washindi wa tuzo hizo, tofauti na mfumo ulizoeleka. MCT imekuwa ikitoa tuzo…

Read More

TRA yajipanga kukusanya Sh15.27 trilioni ifikapo Juni 2025

Dar es Salaam. Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imejiwekea lengo la kukusanya Sh15.27 trilioni katika kipindi cha miezi sita kuanzia Januari hadi Juni 2025. Mbali na hilo mamlaka hiyo imejiwekea lengo la kukusanya Sh3.46 trilioni katika mwezi wa Desemba kiwango ambacho hakijawahi kukusanywa tangu kuanzishwa kwa mamlaka hiyo. Hayo yameelezwa leo jijini Dar es Salaam…

Read More

DC Lijualikali ahusishwa na vurugu za uchaguzi Nkasi, mwenyewe akana

Rukwa. Mkuu wa Wilaya ya Nkasi, Peter Lijualikali amesema taarifa zinazosambaa mitandaoni kuwa amehusika kwenye vurugu zilizotokana na marudio ya uchaguzi wa serikali za mitaa si za kweli, akiwataka wanaozisambaza kuwasilisha ushahidi. Taarifa hizo zimedai kuwa baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa katika Kijiji cha Ntalamila wilayani humo mkoani Rukwa kushindwa kufanyika Novemba 27…

Read More

Ushauri kwa Mbowe akisubiriwa kutoa uamuzi kutetea uenyekiti Chadema

Arusha. Wakati kesho Desemba 21, 2024 Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akitarajiwa kutegua kitendawili cha kutetea nafasi hiyo au la, viongozi waandamizi wa zamani wa chama wanashauri ajiweke kando. Wanashauri Mbowe kutumia busara kwa kusikiliza ushauri wa familia yake, iliyomtaka apumzike uongozi. “Nimekuwa na wakati mgumu na familia yangu. Hakuna kipindi familia yangu imenikalia mguu…

Read More

Droo ya kwanza ya Santa Mizawadi Kufanyika Jumanne

KAMPUNI ya Airtel imewaomba wateja na mawakala wanaotumia mtandao huo kuendelea kuchangamkia promosheni maalum ya Airtel Santa Mizawadi ili waweze kujishindia zawadi mbalimbali ikiwemo pesa taslimu. Mkuu wa Mawasiliano na Uhusiano, Jackson Mmbando akizugumza na waandishi wa habari Jijini Dar es salaam leo Desemba 20, 2024 amesema promesheni hiyo bado inaendelea na droo ya kwanza…

Read More