
DAIMA CCM ITAZINGATIA WANANCHI: BALOZI NCHIMBI
_Asema huo ni msingi wa Watanzania kuendelea kuiamini CCM_ _Atoa maelekezo mafunzo viongozi Serikali za Mitaa nchi nzima_ _Apongeza Nzega Mjini utekekezaji wa Ilani ya Uchaguzi_ Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema siku zote CCM itazingatia maslahi na matakwa ya watu katika kuwatumikia Watanzania. Balozi Nchimbi amesisitiza kuwa…