
Serikali ya Kenya yakemea mashirika yanayotumia vibaya fedha – DW – 20.12.2024
Katibu Mkuu wa wizara ya usalama wa ndani Raymond Omollo ametoa onyo kali kwa mashirika yasiyo ya serikali dhidi ya kutumia vibaya fedha za wafadhili kusaidia shughuli haramu, ikiwa ni pamoja na ugaidi. Amesema baadhi ya mashirika yanatumiwa katika ubadilishaji wa siri wa matumizi ya fedha zinazokusudiwa kwa madhumuni halali. Mashirika hayo yamesajiliwa kwa miradi…