
Sita wa familia moja walivyonusurika ajalini
Shinyanga. Gari aina ya Toyota Harrier lililobeba watu sita wa familia moja limepinduka baada ya kuacha njia na kuingia kwenye mtaro. Ajali hiyo imetokea leo Desemba 20, 2024 eneo la Kizumbi katika Manispaa ya Shinyanga, saa 9 mchana. Mmoja ya waathirika wa ajali hiyo, Diana Willibard amesema gari hilo ilianza kupata shida wakiwa Tinde. “Tulikua…