Katibu wa CCM Mkoa wa Tanga afariki dunia

Tanga. Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga, Seleman Sankwa amefariki dunia leo Desemba 20, 2024 wakati akipatiwa matibabu katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete jijini Dar es Salaam. Kifo cha Sankwa kimethibitishwa na Rajab Abdulrhaman, mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga, ambaye pia ni mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho….

Read More

WIKENDI INAANZA KWA KUBASHIRI NA MERIDIANBET LEO

IJUMAA ndio hiyo imefika ya kuchukua maokoto yako ya maana na mabingwa wa odds kubwa Meridianbet leo kwani mechi kibao za pesa zitakuwa uwanjani hapo baadae kusaka pointi 3. Ligi kuu ya Ujerumani, BUNDESLIGA leo hii kuna mechi kali kabisa kati ya wenyeji Bayern Munich dhidi ya RB Leipzig. Ikumbukwe kuwa mechi iliyopita vijana wa…

Read More

Mwili wa Ulomi wawasili kijijini kwao, maziko leo

Siha. Mwili wa mfanyabiashara Daisle Ulomi umewasili nyumbani kwao, kitongoji cha Kikwe, Kata ya Nasai, Sanya Juu, wilayani Siha kwa ajili ya maziko yanayofanyika leo Desemba 20, 2024 katika makaburi ya familia. Ulomi, mfanyabiashara wa huduma za kifedha kupitia mitandao, alipata ajali Desemba 11 jijini Dar es Salaam na mwili wake ulitambuliwa na famiia Desemba…

Read More

Warepublican wawakaidi Trump, Musk – DW – 20.12.2024

Mpango huo, ulioungwa mkono na na mshauri wake Elon Musk, ulishindwa kwa kura 235 dhidi ya 174, ambapo Warepublican 38 waliungana na karibu Wademocrat wote kuupinga. Hali hii imeiacha Congress bila mpango wa wazi wa kuepusha kufungwa kwa shughuli za serikali. Spika wa Bunge, Mike Johnson, ambaye ni Mrepublican, amewekwa katika nafasi ngumu, hali inayokumbusha…

Read More

Mwenyekiti mpya Chadema Kaskazini asema hatarithi maadui

Arusha. Mwenyekiti mpya wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Kaskazini, Samwel Welwel amewaomba viongozi wa majimbo na mikoa katika kanda hiyo kushirikiana kuimarisha chama hicho huku akieleza kwamba hataki kurithi maadui. Welwel ameshinda nafasi hiyo baada ya uchaguzi huo akirithi mikoba ya Godbless Lema ambaye amempongeza kwa ushindi huo na kuahidi kushirikiana…

Read More

TBS YAWAHIMIZA WENYE VIWANDA NA TAASISI KUTHIBITISHA MIFUMO YAO YA UBORA

NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limezitaka taasisi, sekta mbalimbali na wenye viwanda kuhakikisha wanathibitisha mifumo yao ya huduma ili kuhakikisha ubora na usalama katika uzalishaji na utoaji huduma. Akizungumza na waandishi wa habari Desemba 19, 2024 Jijini Dar es Salaam,Meneja uthibitishaji mifumo ya ubora Bi.Nasra Hussein amesema TBS ina Cheti cha…

Read More

Makumbusho ya Sanaa ya Kisasa Yazinduliwa huko Cotonou, Onyesha Wasanii wa Benin – Masuala ya Ulimwenguni

Kipande kutoka kwa mfululizo wa Emo de Medeiros Vodunaut katika “Ufunuo! Maonyesho ya sanaa ya kisasa kutoka Benin” huko La Conciergerie huko Paris, Ufaransa. Simu mahiri ndani ya helmeti zilizopambwa kwa ganda la cowry huangazia video zilizopigwa katika mabara manne tofauti. Credit: Megan Fahrney/IPS na Megan Fahrney (cotonou, benin) Ijumaa, Desemba 20, 2024 Inter Press…

Read More