
Kapinga atangaza fursa za uwekezaji nchini Saudi Arabia
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema Kongamano la Wafanyabiashara na Wawekezaji nchini Saudi Arabia litaongeza uwekezaji kwenye Sekta ya Nishati kutokana na Tanzania kuzinadi fursa zilizopo kwenye maeneo mbalibali ikiwemo Gesi Asilia, Umeme na Nishati Safi ya Kupikia. Mhe. Kapinga amesema hayo katika Kongamano la Wafanyabiashara na Wawekezaji zaidi ya 250 kutoka…