
Sababu mgonjwa kuwekewa betri ya moyo na asiyopaswa kuyafanya
Watanzania takriban 25 wanapandikizwa betri ya moyo kila mwezi, sawa na takriban watu 300 kwa mwaka. Hili ni ongezeko kutoka watu 150 waliopandikizwa betri hiyo mwaka 2015/16. Kwa upande mwingine, takriban watu 400 hadi 500 hufika kliniki ya wagonjwa wa nje (OPD) katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kila siku. Kitaalamu, betri ya…