Kiwango cha kutisha cha mgogoro wa Sudan 'unahitaji uangalizi endelevu na wa haraka' – Global Issues

Akitoa maelezo kwa mabalozi nchini Baraza la UsalamaEdem Wosornu, Mkurugenzi wa Operesheni katika Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Uratibu wa Masuala ya Kibinadamu (OCHA), alielezea hali hiyo kama “mgogoro wa kiwango cha kushangaza na ukatili”. “Inahitaji uangalizi endelevu na wa haraka,” alisisitiza. Bi. Wosornu alieleza kwa kina msiba wa mzozo huo, ambao ulizuka kati…

Read More

Sababu Jeshi la Polisi kutajwa 10 bora Afrika

Dar es Salaam. Jeshi la Polisi la Tanzania limetajwa kuwa miongoni mwa majeshi bora 10 barani Afrika kwa kuwa na weledi na kuheshimu haki za wananchi, utafiti wa Afrobarometer umebainisha. Katika kigezo hicho, Burkina Faso imeongoza ikifuatiwa na Morocco, Niger, Benin, Mali, Senegal, Tanzania, Madagascar, Mauritania na Mauritius. Mbali na kigezo hicho, pia Tanzania imeongoza…

Read More

Mtazamo tofauti ushindi wa Profesa Lipumba CUF

Dar es Salaam. Ingawa ushindi wa Profesa Ibrahim Lipumba katika nafasi ya uenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Taifa ni furaha kwake na baadhi ya makada, wanazuoni wanauona kama ni kaburi la chama hicho. Wasiwasi wa wanazuoni hao kuhusu kupotea zaidi kwa chama hicho kilichowahi kuwa kikuu cha upinzani Tanzania, unatokana na wanachoeleza kuwa hakutakuwa…

Read More

Marehemu Ulomi alikuwa koplo wa Polisi

Dar es Salaam. Kamishna msaidizi wa Jeshi la Polisi Makao Makuu Dodoma, Elisante Ulomi amesema mdogo wake, Daisle Simon Ulomi aliyefariki dunia kwa ajali ya pikipiki jijini hapa, alikuwa mtumishi wa Jeshi la Polisi kabla ya kuacha kazi hiyo mapema mwaka huu. Kwa mujibu wa Jeshi la Polisi, Ulomi aliyekuwa anafanya biashara ya fedha ya…

Read More

Askari waliouawa kwa risasi wakimkamata mtuhumiwa waagwa

Mpwapwa. Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa, Dk Sophia Kizigo ameongoza waombolezaji kuuaga miili ya maaskari polisi wawili waliouawa kwa kupigwa risasi na mtuhumiwa wa unyang’anyi wa kutumia silaha, wakiwa kwenye operesheni ya kumkamata. Akitoa salamu kwa waombolezaji leo Desemba 19, 2024, Dk Kizigo amelaani tukio hilo akisema jamii inapaswa kulikemea kwa nguvu zote ili kuondoa…

Read More

Shule 26 zapata Tuzo ya Bendera ya Kijani

Morogoro. Jumla ya shule 26 za msingi na sekondari katika halmashauri nne zimetunukiwa Tuzo ya Bendera ya Kijani kutoka Taasisi ya Elimu ya Mazingira Duniani (FEE) baada ya kukidhi vigezo vya kuboresha elimu na mazingira kupitia Programu ya Eco-School unaosimamiwa na Shirika la Kuhifadhi Misitu ya Asili Tanzania (TFCG) hapa nchini. Akizungumza katika hafla ya…

Read More