
Mfumo wa kielektroniki wa BoT kupunguza wateja kuonewa
Arusha. Mfumo maalumu wa kielektroniki mahususi kwa ajili ya kushughulikia changamoto na malalamiko ya wateja kwa taasisi za fedha, unatajwa kulinda wateja na kupunguza malalamiko hasa ya watoa mikopo wasiozingatia kanuni na taratibu. Aidha mfumo huo unatajwa kusaidia watoa huduma za kifedha kutoa huduma bora kwa kuzingatia kanuni na taratibu zilizowekwa. Kauli hiyo imetolewa leo…