TRA WAWASHUKURU WALIPAKODI WA KATI KISEKTA

Kaimu Naibu kamishna walipa kodi wa Kati kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Godwin Barongo akiwaaga wafanyakazi wa SAS Logistics Ltd  mara baada ya kuwatembelea katika ofisi zao zilizopo Tabata wakati Mamlaka ya Mapato Tanzania walipowatembelea mahali pa kazi jijini Dar es Salaam leo Desemba 19, 2024 kwaajili ya kuwashukuru kuwa walipakodi wazuri. Kulia ni…

Read More

BODI YA WADHAMINI YA SHIRIKA LA HIFADHI ZA TAIFA TANZANIA WACHOTA UJUZI UTALII WA KIHISTORIA – ZANZIBAR

Na Philipo Hassan – Zanzibar Bodi ya Wadhamini ya Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) ikiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi, Jenerali (Mstaafu) George Waitara, jana Desemba 18, 2024 walitembelea maeneo mbalimbali ya utalii Visiwani Zanzibar kwa lengo la kujifunza utalii wa visiwa, kihistoria na malikale. Ziara hiyo yenye lengo la kujifunza masuala ya utalii…

Read More

Viongozi wa dini Mkoa wa Kagera wafanya maombi maalum

Renatha Kipaka, Bukoba Viongozi wa Mkoa wa Kagera kwa kushirikiana na viongozi wa dini umefanya maombi maalum ya kuliombea Taifa ili liendelee kuwa na amani, mshikamano, utulivu pamoja na maendeleo. Maombezi hayo yamefanyika mjini Bukoba kwa kushilikisha wananchi na waumini wa madhehebu mbalimbali. Hata hivyo Padre Samueli Muchunguzi, Makamu Askofu wa Kanisa Katoliki la Bukoba,…

Read More

DKT. BITEKO APONGEZA TAMASHA IJUKA OMUKA

*Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amempongeza Mkuu wa Mkoa wa Kagera Hajjat Fatma Mwassa kwa maandalizi mazuri ya Kongamano la Uwekezaji mkoani humo litakaloibua fursa za uwekezaji na kukuza uchumi wa mkoa. Dkt. Biteko ametoa pongezi hizo leo Desemba…

Read More

Serikali yataka ubia miradi yenye mvuto kibiashara

Dodoma. Wataalamu wa ubia kati ya sekta ya umma na sekta binafsi (PPP) nchini wametakiwa kuhakikisha miradi yote mikubwa yenye mvuto wa kibiashara nchini inatekelezwa kwa ubia kati ya sekta hizo ili kuipunguzia Serikali mzigo wa kugharamia miradi hiyo. Agizo hilo leo Desemba 19 jijini Dodoma na Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Jenifa Omolo,…

Read More