
PWANI ENDELEENI KUTANGAZA FURSA ZA UWEKEZAJI-MHE.NYONGO
Kutoka kulia ni Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Stanslaus Nyongo akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakari Kunenge wakifuatilia mada kwenye kongamano hilo la Maonesho ya Viwanda biashara na uwekezaji yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa mikutano wa Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere, Kibaha. Mkuu wa Shule ya Uongozi ya…