
Yanga yaanza vizuri KMC Complex, yaibanjua Mashujaa
GARI limewaka. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Prince Dube kufunga hat trick katika mchezo wa Ligi Kuu Bara, ikiwa ni siku chache tangu aipate ‘code’ ya kutupia kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika wakati akiipa Yanga sare ya bao 1-1 dhidi ya TP Mazembe ya DR Congo. Dube aliyesajiliwa msimu huu kutoka Azam, alikuwa…