
“TRA Mkoa wa Tanga yatoa shukrani kwa Walipa Kodi”
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Tanga imefanya ziara maalum ya kutembelea na kutoa zawadi kwa walipa kodi wanaotekeleza wajibu wao wa kulipa kodi kwa hiari. Lengo kuu la ziara hiyo ni kuhamasisha wafanyabiashara wengine kutambua umuhimu wa kulipa kodi kwa ajili ya kuchangia maendeleo ya taifa. Ziara hiyo ilihusisha kutembelea maeneo mbalimbali ya…