
Jonathan Sowah kumrithi Guede Singida BS
SIKU chache tu tangu Singida Black Stars kumalizana na mshambuliaji Joseph Guede kwa makubaliano ya pande mbili, uongozi wa klabu hiyo upo hatua za mwisho kumalizana na straika Mghana, Jonathan Sowah ili kuziba nafasi ya nyota huyo wa zamani wa Yanga mwenye uraia wa Ivory Coast. Sowah anaungana na Mghana mwenzie, Frank Assinki anayecheza nafasi…