
Lukuba: Outsiders tulizingua wenyewe | Mwanaspoti
MWEKAHAZINA wa UDSM Outsiders, Rama Lukuba ameshindwa kujizuia na kusema kilichoiua timu hiyo na kushindwa kubeba ubingwa wa ligi ya kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL) mwaka huu, ni wao tu. Akiongea na Mwanasposti katika viwanja vya Donbosco Upanga, Lukuba alisema nafasi waliyopata mwaka huu haiwezi ikajirudia tena. Alisema timu hiyo ilikuwa na kikosi…