
CUF yamchagua tena mwenyekiti wake Lipumba – DW – 19.12.2024
Lipumba ambaye anaweka rekodi kwa kuwa mwenyikiti wa sasa kwa kipindi kirefu zaidi anakabiliwa na jukumu la kurejesha ushawishi wa chama hicho wakati huu wa kuelekea katika uchaguzi mkuu hapo mwakani. Ni tambo na vijembe ambavyo mara nyingi Profesa Lipumba amekuwa akivihanikiza wakati anapopanda katika majukwaa ya kisaasa vikielelezwa kwa chama tawala CCM na sera…