
SERIKALI YAHIMIZA UBIA KWENYE MIRADI YENYE MVUTO KIBIASHARA – MWANAHARAKATI MZALENDO
Wataalamu wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi nchini wameagizwa kuhakikisha miradi yote mikubwa yenye mvuto wa kibiashara nchini inatekelezwa kwa ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) ili kuipunguzia Serikali mzigo wa kugharamia miradi hiyo. Agizo hilo limetolewa jijini Dodoma na Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Bi….