
Kisa Mpanzu… Simba wakuna vichwa
JANA Ellie Mpanzu hakuanza na wala hakuwa katika benchi la kikosi cha Simba kilichovaana na Ken Gold wakati wa pambano la Ligi Kuu Bara, tofauti na majigambo ya mabosi wa Msimbazi mwamba huyo angeanza kuonekana mara baada ya dirisha dogo la usajili litakapofunguliwa, huku ikielezwa kilichomzuia. Simba ilimsajili Mpanzu tangu Septemba mwaka huu muda mchache…