
Baraza la Madiwani Moshi lasitisha tozo za vibali vya sherehe ndogondogo
Moshi. Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi limesitisha kwa muda utozaji wa vibali mbalimbali vya sherehe ndogo ndogo kama kumbukumbu za kuzaliwa, kipaimara, ubarikio na vikao vya kifamilia vinavyofanyika katika maeneo ya wazi au kumbi za sherehe. Mwenyekiti wa halmashauri hiyo, Moris Makoi ameyasema hayo leo Jumatano Desemba 18, 2024 kwenye kikao…