Mume adaiwa kumkata mkono mkewe, kisa kachelewa kurudi nyumbani

Shinyanga. Mkazi wa Kata ya Mwendakulima, Halmashauri ya Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga, Happyness Khalfan (30), anadaiwa kukatwa mkono wa kushoto na mume wake, Charles Peter, baada ya kuchelewa kurudi nyumbani. Akisimulia tukio hilo, Happyness anasema lilitokea Jumapili Desemba 15, 2024  na sababu ya kujeruhiwa ni baada ya kumuomba mumewe ampeleke hospitali kwa kuwa alikuwa…

Read More

Mwalimu Mswahili atoa pongezi kwa Rais mpango wa Sequip

*Ni ule wa kuwarudisha sekondari watoto waliopata matatizo mbalimbali ikiwemo ujauzito Na Mwandishi wetu WAHITIMU wa Taasisi ya Elimu ya Watu wazima wamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kurudisha Mpango unaojulikana kama Sequip ambao unawasaidia kuwarudisha sekondari watoto waliopata matatizo mbalimbali ikiwemo ujauzito. Pongezi hizo zilitolewa Jijini Dar es Salaam wakati wa Mahafali ya 63…

Read More

VIDEO: Askari polisi wawili wauawa wakikamata mtuhumiwa

Dodoma. Askari polisi wawili wameuawa usiku wa kuamkia leo Desemba 18, 2024 kwa kushambuliwa na mtuhumiwa wa unyang’anyi wa kutumia silaha, Atanasio Malenda, wakati walipokwenda kumkamata nyumbani kwake. Tukio hilo limetokea katika Kijiji cha Msagali wilayani Mpwapwa Mkoa wa Dodoma, katika tukio ambalo Malendo (30) naye ameuawa. Kwa mujibu wa taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoa…

Read More

MPANGO WA MIAKA MITANO CHANJO ZA MIFUGO KUANZA JANUARI 2025

-Serikali Kuchangia Nusu bei gharama za Chanjo -Vijana, Wanawake Kupata ajira -Wafugaji, Wataalam wahimizwa Ushirikiano. Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi itaanza Mpango wa Utoaji wa Chanjo na utambuzi wa Mifugo Kitaifa kuanzia Mwezi Januari 2025 ambapo Shilingi Bilioni 28.1 zimetengwa kwa ajili ya kutekeleza mpango huo unaolenga kudhibiti na kutokomeza magonjwa…

Read More

Dk Manguruwe aandika barua kwa DPP, atakiwa kusubiri upelelezi ukamilike

Dar es Salaam. Mkurugenzi wa kampuni ya Vanilla International Ltd, Simon Mkondya (40) maarufu Dk Manguruwe, amemuandikia barua Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP), akiomba kukiri mashitaka na kupunguziwa adhabu katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili. Hata hivyo, Serikali imemjibu maombi yake hayajakubaliwa mpaka upelelezi wa kesi utakapokamilika. Mkondya na Mkaguzi wa fedha wa kampuni hiyo,…

Read More

Naibu Waziri Chande azindua Bodi ya Wakurugenzi wa NBAA

  Naibu Waziri wa Fedha Hamad Hassan Chande (Mb) ameitaka Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) kufanya kazi kwa  weledi na ushirikiano  kwa kuhakikisha inapitia mitaala iliyopo kwa ajili ya uboreshaji wa Taaluma ya uhasibu ili iweze kutoa mchango katika kukuza uchumi. Wito huo umetolewa na Naibu Waziri wa Fedha Hamad…

Read More