
VIDEO: Mgongano wa sheria, kilimo vyatajwa uharibifu wa mikoko Pwani-1
Pwani. Ukinzani wa Sheria ya Ardhi ya Vijiji namba 5 ya 1999 na Sheria ya Misitu Namba 14 ya 2002 vimetajwa kuwa chanzo cha uharibifu wa misitu ya mikoko, ambapo mpaka mwaka 2020 zaidi ya hekta 7,000 zimefyekwa kati ya hekta 53,255 zilizopo katika Delta ya Kibiti Rufiji kwa ajili ya kilimo, Mwananchi limeelezwa. Hayo…