
Kocha aanika mikakati Kilimanjaro Stars
SIKU moja baada ya kutangaza kikosi cha wachezaji 28 kinachoingia kambini kwa ajili ya kushiriki michuano ya Kombe la Mapinduzi, Kocha Ahmed Ally amesema ni heshima kwake kukabidhiwa majukumu hayo huku akianika mikakati yake. Ahmed ambaye anainoa JKT Tanzania ameteuliwa kuiongoza Timu ya Taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ kushiriki michuano hiyo inayotarajiwa kuanza Januari…