Feisal aikataa Simba | Mwanaspoti

KIUNGO wa Azam FC, Feisal Salum amekata mzizi fitna kuhusu maneno yanayoendelea kusemwa kwamba huenda akatimikia Simba, akifunguka kuwa kama ataondoka anapocheza sasa basi hawezi kujiunga na timu yoyote Bongo ikiwamo ya Wekundu wa Msimbazi. Fei ambaye aliwahi kuichezea Yanga kwa mafanikio, ameendeleza moto wake hadi alipojiunga na Azam ambako alisaini mkataba wa miaka mitatu…

Read More

Mkuu wa Umoja wa Mataifa ampongeza 'mlinda amani, bingwa wa haki za binadamu', Rais wa zamani Jimmy Carter – Global Issues

Mwanasiasa huyo wa chama cha Democratic aliishi muda mrefu zaidi kuliko rais yeyote katika historia ya Marekani, akihudumu kwa muhula mmoja kati ya 1977 na 1981, akiendelea kuharibu sifa yake katika jukwaa la kimataifa kwa kutunukiwa Tuzo ya Amani ya Nobel, na kuanzisha kituo kikuu cha diplomasia na utatuzi wa migogoro nchini. aina ya Kituo…

Read More

Jaji Werema afariki dunia – Mwanahalisi Online

  ALIYEKUWA Mwanasheria Mkuu (AG) wa Serikali, Frederick Werema amefariki dunia leo, tarehe 30/12/2024 katika Hospital ya Muhimbili. Taarifa za kifo chake zimetolewa leo na Salome Ntaro, ambaye ni Katibu Parokia ya Mt. Martha ambayo marehemu Werema alikuwa mwenyekiti wake. Kwa mujibu wa Ntaro, taratibu za msiba huo zinaendelea kwa kushirikiana na ndugu pamoja na…

Read More

Shisha zilizochanganywa na dawa za kulevya zakamatwa Zanzibar

Unguja. Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Zanzibar (ZDCEA) kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama imekamata kilo 798.89 za dawa za kulevya ikiwamo shisha zilizochanganywa na dawa za kulevya. Aina ya dawa zilizokamatwa katika operesheni maalumu nne tofauti zilizofanywa kuanzia Oktoba mwaka huu ni pamoja na bangi, cocaine, heroin, methamphetamine…

Read More

CCM yampongeza Mkurugenzi wa shule za Tusiime

Na Mwandishi Wetu CHAMA cha Mapinduzi (CCM), kimepongeza mchango mkubwa unaotolewa na Mkurugenzi wa shule za Tusiime za Tabata Sanene jijini Dar es Salaam, Dk. Albert Katagira kwa chama hicho mara kwa mara. Pongezi hizo zilitolewa mwishoni mwa wiki na Mjumbe wa Baraza Kuu Taifa Wazazi, Sudi Kassim Sudi, kwenye kikao chao kilichofanyika mwishoni mwa…

Read More

Bosi Jatu aomba mahakama itoe uamuzi upelelezi kutokamilika

Dar es Salaam. Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Jatu PLC, Peter Gasaya (33), anayekabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtaka mawili, likiwemo la kujipatia Sh5.1 bilioni kwa udanganyifu, ameiomba mahakama ifanya uamuzi katika kesi yake kutokana na upelelezi wa shauri hilo kutokamilika. Gasaya anadaiwa kujipatia fedha hizo kutoka Saccos ya Jatu kwa madai atazipanda…

Read More