Shisha zilizochanganywa na dawa za kulevywa zakamatwa Zanzibar

Unguja. Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Zanzibar (ZDCEA) kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama imekamata kilo 798.89 za dawa za kulevya ikiwamo shisha zilizochanganywa na dawa za kulevya. Aina ya dawa zilizokamatwa katika operesheni maalumu nne tofauti zilizofanywa kuanzia Oktoba mwaka huu ni pamoja na bangi, cocaine, heroin, methamphetamine…

Read More

Mzee Mechili asimulia safari ya miaka 75 ya ndoa

Moshi. Taasisi ya ndoa imekuwa ikikumbwa na changamoto nyingi katika miaka ya hivi karibuni, hali inayosababisha ndoa nyingi kuvunjika mapema. Hata hivyo, Mzee Joseph Mechili (95) na mkewe Alphonsina Mechili (92) ambao wamefanikiwa kufanikisha safari yao ya ndoa kwa miaka 75 sasa na kuvivuka vikwazo mbalimbali. Mwananchi Digital imefika nyumbani kwa wazee hao jana, Desemba…

Read More

SHINDANO LA EXPANSE KASINO KUMWAGA MKWANJA

KIPINDI hiki ambacho tunaelekea kuufunga mwaka kwa mdau wa michezo ya kasino anaweza kuufunga mwaka kibabe endapo utashiriki shindano la Expanse, Ambapo unaweza kuibuka mshindi wa kitita cha shilingi milioni moja. Meridianbet wamekuja na shindano la michuano ya kasino inayofahamika kama shindano la mabingwa ambapo mshindi ataondoka na kitita cha milioni moja taslimu, Shindano hili…

Read More

Mhandisi wa kike mwenye msukumo akipumua maisha mapya katika mji mkuu wa kale wa Yemen – Masuala ya Ulimwenguni

“Kuna lugha ya kawaida kati yangu na majengo. Katika kila nyumba ninajaribu kuhifadhi. Ninahisi kuwa jiji linanishukuru, na ninashukuru jiji kwa sababu limenifundisha mengi”, anasema mhandisi wa Yemeni Harbia. Al-Himiary, akielezea uhusiano wake na mji mkuu wa Yemen. Bi. Al-Himiary amekuwa akijitahidi tangu utotoni kufikia ndoto yake ya kuhifadhi urithi wa Sana'a, na kuhakikisha “mwendelezo…

Read More

Watuhumiwa mauaji ya mtoto Grayson wafikishwa mahakamani Dodoma

Dodoma. Watuhumiwa wawili wanaokabiliwa na kesi ya mauaji ya mtoto wa Grayson Kanyenye (6) wamefikishwa mahakamani jijini Dodoma leo Jumatatu, Desemba 30,2024. Mpaka sasa bado haijajulikana kesi hiyo itasomwa katika mahakama gani. Watuhumiwa wawili wanaokabiliwa na kesi ya mauaji ya mtoto wa Graison Kanyenye (6) wakifikishwa mahakamani jijini Dodoma leo Jumatatu, Desemba 30,2024. Picha na…

Read More

ZDCEA yanasa watano, kilo 798 dawa za kulevya

Unguja. Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Zanzibar (ZDCEA) kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama imekamata kilo 798.89 za dawa za kulevya. Aina ya dawa zilizokamatwa katika operesheni maalumu nne tofauti zilizofanywa kuanzia Oktoba mwaka huu ni pamoja na bangi, cocaine, heroin, methamphetamine na shisha zilizochanganywa na dawa za…

Read More