
Bashe atangaza vita dhidi ya ‘cartel’ kwenye tumbaku
Dar es Salaam. Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, , ametoa maelekezo yenye lengo la kukabili ‘cartel’ kwenye zao la tumbaku, ikiwa ni pamoja na kuhakikisha magunia yenye thamani ya zaidi ya Sh1.4 bilioni yanarejeshwa kwa wakulima. Magunia hayo yamekamatwa katika operesheni ya Serikali kwenye mikoa ya Tabora na Shinyanga baada ya kuuzwa tena kwa wakulima…