Mahakama ya rufani yabariki miaka 20 aliyekutwa na meno ya tembo
Arusha. Mahakama ya rufani imebariki adhabu ya kifungo cha miaka 20 jela aliyohukumiwa mkazi wa Wilaya ya Ngorongoro, Paryumbai Kishando, baada ya kutiwa hatiani kwa kukutwa na meno mazima manne na vipande viwili vya meno ya tembo na ngozi ya chui. Rufaa hiyo ilikuwa inapinga uamuzi wa Mahakama Kuu Masijala ndogo ya Arusha, iliyotolewa Februari…