RAIS SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA YA MKOA WA RUKWA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuweka jiwe la Msingi la ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mkoa wa Rukwa kwenye hafla iliyofanyika katika Kijiji cha Mtindilo Laela mkoani humo tarehe 17 Julai, 2024. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu…