Tanzania na Oman zasaini mkataba wa usafiri wa anga (Basa)
Tanzania na Oman zimesaini mkataba wa usafiri wa anga (Basa) ambao utawezesha mashirika ya ndege kutoka nchi hizo, kusafiri pande zote bila kujali idadi ya safari wala ukubwa wa ndege husika. Kusainiwa mkataba huu pia kutawezesha mashirika ya ndege yasiyokuwa na ndege kuungana na yale yanayozimiliki kuendesha biashara kwa pamoja. Hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi…