Taasisi yake ya Kituo cha Carter imesema rais huyo wa zamani alifariki akiwa nyumbani kwake mjini Plains, akiwa amezungukwa na familia yake. “Baba yangu alikuwa
Year: 2024

Bagamoyo. Bagamoyo ni miongoni mwa miji yenye historia kubwa nchini, na hii inatokana na umaarufu wake ulioanzia karne ya 18. Simulizi mbalimbali zinaonyesha kuwa mji

Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mizengo Pinda amefanya ziara katika Ndaki ya Kampasi ya Mizengo Pinda, Mkoani Katavi ikiwa ni

Na Mwandishi Wetu Timu ya Mpira wa Miguu Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Temeke imetoa sare ya bao moja kwa moja na timu

*Asema Rais Dkt. Samia anamchango mkubwa kwenye Maendeleo ya Wilaya hiyo. WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Wilaya ya Ruangwa imepiga kasi kubwa ya maendeleo

Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO DISEMBA 30,2024 About the author

Mwanza. Serikali imemuokoa mtoto wa miaka miwili aliyedaiwa kufungiwa ndani na mama yake (18) kisha yeye kwenda virabuni kunywa pombe hadi asubuhi ya siku inayofuata.

Arusha. Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Monduli mkoani Arusha wameonyesha kutoridhishwa na uongozi wa katibu wa chama hicho wilayani humo, Rukia Omary wakimtuhumu kukigawa

KLABU ya Tanzania Prisons imefikia makubaliano ya kumpa mkataba hadi mwisho wa msimu huu aliyekuwa kocha wa Geita Gold, Amani Josiah, ikiwa ni muda mfupi