KONA YA MALOTO: Tukio la Trump linathibitisha Marekani ni ileile
John Hinckley Jr, alitekwa kihisia na mwigizaji wa Hollywood, binti mrembo, Jodie Foster. Filamu ya Taxi Driver ilipotoka mwaka 1976, Hinckley, angeitazama kila siku ili kumwona Jodie. Hinckley alimpenda sana Jodie. Haukuwa upendo wa kawaida, bali ugonjwa. Hinckley alifanya majaribio mengi ya kumsogeza Jodie karibu. Alimwandikia barua mara kwa mara. Mara chache alizungumza naye kwa…