DK. MWINYI AAHIDI KUENDELEZA MATAMASHA YA ASILI ILI KUONGEZA IDADI YA WATALII – MWANAHARAKATI MZALENDO
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea kuyaimarisha matamasha yaliyopo ikiwemo Mwaka Kogwa na kubuni matamasha mengine mapya kwa lengo la kuongeza vivutio vya utalii nchini. Rais Dk. Mwinyi ameyasema hayo leo wakati wa akihutubia maelfu ya Wananchi waliojitokeza katika Tamasha la Mwaka Kogwa ambalo linafanyika…