FAO WATOA DOZI MIL.3.9 ZA CHANJO YA SOTOKA YA MBUZI NA KONDOO
-WOAH, AU-IBAR kuongeza takribani dozi Mil.6 nyingine Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo (FAO) limeikabidhi Serikali ya Tanzania dozi Mil. 3.9 za chanjo ya ugonjwa wa Sotoka ya Mbuzi na Kondoo kwenye hafla iliyofanyika leo Julai 16, 2024 wakati wa Ufunguzi wa Warsha inayohusu Ushirikiano wa Serikali na sekta binafsi kwenye eneo…