Kesi unyang’anyi wa kutumia silaha yakwama tena
Dar es Salaam. Serikali imesema wanasubiri kupangiwa hakimu mwingine ili waendelee na usikilizwaji wa kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha na kuiba Sh 90milioni, inayowakabili watu watano wakiwamo waliokuwa polisi. Washtakiwa katika kesi hiyo ya jinai namba 197/2023 ni waliokuwa askari kanzu watatu mwenye namba F 7149 D/Coplo Ramadhani Tarimo (42) maarufu kama Rasta na…