MWALIMU NEW VISION MIRERANI AJINYONGA SHULENI

Na Mwandishi wetu, Babati MWALIMU wa shule binafsi ya awali na msingi New Vision ya mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara, amejfariki dunia kwa kujinyonga kwa kutumia kamba ya manila. Kamanda wa polisi wa mkoa wa Manyara, kamishna msaidizi mwandamizi (SACP) George Katabazi akizungumza na waandishi wa habari amemtaja mwalimu huyo kuwa ni…

Read More

CCM yapinga kauli ya Nape ushindi katika uchaguzi

Dar es Salaam. Chama cha Mapinduzi (CCM), kimeipinga kauli ya kiongozi wake wa zamani, Nape Nnauye aliyesema ushindi katika uchaguzi hautokani na wingi wa kura za kwenye boksi, bali nani anayehesabu na kutangaza matokeo.  Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla leo Jumanne Julai 16, 2024 amesema kauli hiyo haitokani…

Read More

VIJANA RUANGWA WAENDELEA KUJITOKEZA KUWASILISHA MAOMBI YA WAHUDUMU WA AFYA NGAZI YA JAMII KUPITIA MPANGO JUMUISHI

Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Chirangalile kata ya Makanjiro Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa Mkoani Lindi Mohammed Rashidi Abdallah akitoa maelezo kwa mwombaji nafasi za Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii kupitia Mpango Jumuishi Viola Ngonyani Na. Elimu ya Afya kwa Umma. Vijana katika maeneo mbalimbali katika Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa Mkoani Lindi weendelea…

Read More

TETESI ZA USAJILI BONGO: Yanga kumpeleka Gift APR

BAADA ya beki wa kati Mganda Gift Fred kudaiwa kwamba amekosa namba kwenye kikosi cha Yanga, hivi sasa inaelezwa timu hiyo itamtoa kwa mkopo kwenda kwa mabingwa wa Rwanda, APR. Beki huyo alijiunga na Yanga wakati wa usajili wa dirisha kubwa, Julai 7, mwaka jana, akitokea SC Villa ya Uganda, lakini inaelezwa atatolewa kwenda Rwanda…

Read More

RAIS WA ZANZIBAR DKT. MWINYI AMEFUNGUA TAMASHA LA MWAKA KOGWA MAKUNDUCHI MKOA WA KUSINI UNGUJA LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kulifungua Tamasha la Mwaka Kogwa Makunduchi lililofanyika katika viwanja vya Kae Kuu Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja leo 16-7-2024 na (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Kamati ya Mwaka Kogwa.Mwita Masemo Makungu na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja…

Read More