SIMBA YAMPA ‘THANK YOU’ PA OMAR JOBE
Uongozi wa klabu ya Simba umefikia makubaliano ya kuvunja mkataba na mshambuliaji Pa Omar Jobe (25) baada ya kipindi kifupi cha miezi sita. Jobe alijiunga na Simba akitoke katika timu ya Zhenis inayoshiriki Ligi Kuu nchini Kazakhstan. Baada ya kutua Unyamani ambapo alianza kwa kuonesha kiwango kizuri lakini baadae mambo yakaanza kuharibika. Akiwa Simba…