Wito wa kimataifa wa kuwapa vijana ujuzi kwa ajili ya mustakabali wenye amani na endelevu – Masuala ya Ulimwenguni

Katika ujumbe wa Jumatatu Siku ya Ujuzi wa Vijana DunianiAntónio Guterres alidokeza kuwa vijana duniani tayari wanafanya kazi kujenga jumuiya salama na zenye nguvu, ingawa karibu robo moja hawako katika elimu, ajira au mafunzo. “Wanaweza kuleta mabadiliko makubwa zaidi kwa mustakabali wetu wa pamoja kwa mafunzo kwa uchumi unaokua wa kijani kibichi na kidijitali, elimu…

Read More

Wamiliki wa Hoteli Kagera waililia TRA juu ya huduma za EFD

Na Renatha Kipaka, Bukoba Wamiliki na mameneja wa hoteli mkoani Kagera wameiomba serikali kupitia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuchukua jukumu la kuwa mawakala wa kuuza na kutengeneza mashine za risiti za kielektroniki (EFDs) ili kupunguza usumbufu kwa wafanyabiashara unaotokana na kufuata huduma hizo mbali. Ombi hilo limetolewa juzi wakati wa kikao baina ya maafisa…

Read More

MBUNGE ZUENA BUSHIRI AWASHA MOTO MWANGA..

NA WILLIUM PAUL, MWANGA. MBUNGE wa viti maalum kupitia mkoa wa Kilimanjaro, Zuena Bushiri ameendelea na ziara yake wilayani Mwanga ambapo amekabidhi mashuka yaliyotolewa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kituo cha Afya cha Mwanga. Akikabidhi mashuka hayo, Zuena alisema kuwa serikali ya awamu ya sita imeendelea kupambana kuhakikisha changamoto zinazoikabili sekta ya Afya…

Read More

Robo ya tatu yaiokoa JKT Stars

USHINDI wa JKT Stars dhidi ya Polisi Stars wa pointi 98-82 katika Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL),  ulichangiwa na pointi 23-13 ilizopata katika robo ya tatu. Mchezo huo uliokuwa mkali na wa kusisimua uliofanyika katika Uwanja wa Donbosco Youth Centre, Upanga. Katika mchezo huo JKT Stars iliongoza katika robo ya kwanza…

Read More

Wafanyabiashara Makambako wapewa wiki moja kuhamia Soko la Kiumba

Njombe. Wafanyabiashara wa mazao katika Halmashauri ya Mji wa Makambako mkoani Njombe wamepewa siku saba kuanzia leo kuondoka maeneo yasiyo rasmi na kuhamia Soko la Kiumba lililojengwa maalumu kwa ajili yao. Agizo hilo limetolewa leo Jumanne Julai 16, 2024 na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Makambako, Keneth Haule wakati akizungumza na wafanyabiashara hao.  Wafanyabiashara…

Read More

Jonas Mushi: Sitishiki na wachezaji wanaoongoza

WAKATI wachezaji wa timu zinazoshiriki Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL) wakichuana kwa ufungaji, lakini  nyota wa JKT, Jonas Mushi ameibuka na kusema hatishwi na hilo. Mushi amesema ligi hiyo bado ni ndefu, hivyo ana nafasi kubwa ya kuongoza kwa ufungaji katika siku za usoni. “Tunatakiwa tumalize mzunguko wa pili. Nakuhakikishia nitapambana…

Read More