Mamia wajitokeza kuchukua vifaa vya maunganisho ya majisafi Dar na Pwani
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) imeendesha zoezi la ugawaji wa vifaa vya maunganisho mapya ya huduma ya maji katika eneo lake la kihuduma Mkoa wa Dar na Pwani huku mamia ya wateja wakijitokeza kupata huduma hiyo. Akiongea na wananchi waliojitokeza kupokea vifaa vya maunganisho ya maji katika Wilaya ya…