Wakongwe Simba waanza kujipata | Mwanaspoti
MASTAA wa kikosi cha Simba wamesema wana kila sababu ya kufanya makubwa msimu ujao kutokana na viongozi, benchi la ufundi kufanya kile kinachowapa mwanga wa kuhakikisha wanakuwa bora. Simba ipo nchini Misri kujiweka tayari kwaajili ya msimu mpya huku mastaa hao wakiweka wazi kuwa msingi ni nidhamu na ushirikiano ili kufikia malengo yao 2024/25. Wakizungumza…