PUMZI YA MOTO: Simba, Aishi tatizo ni hili!
KIKOSI cha Simba kipo Misri kikijiandaa na msimu mpya wa 2024/25 bila kuwa na kipa namba moja kwa misimu takriban sita kabla ya ule uliopita, Aishi Manula. Kipa huyo ameachwa nyumbani kwa kile kinachodaiwa kwamba hayupo katika mipango ya timu, lakini mwenyewe inadaiwa kwamba hajaambiwa kitu. Manula anadaiwa kwamba anatamani kuondoka Msimbazi, lakini bado ana…