Utumiaji uliokithiri dawa za maumivu una athari sawa na chumvi mwilini
Dar es Salaam. Daktari bingwa wa magonjwa ya ndani na moyo kutoka Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Profesa Harun Nyagori amesema takribani asilimia 70 hadi 80 ya dawa za maumivu zina chumvi. Hali hiyo amesema huweza kumfanya mtu anayezitumia dawa hizo mara kwa mara kupata athari sawa na yule anayekula chumvi nyingi. Profesa…