RAIS DKT. SAMIA – KATAVI BEI YA MAHINDI ITAANZIA SH.600 KWA KILO MOJA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akihitimisha ziara yake ya kikazi Mkoani Katavi tarehe 15 Julai 2024 ambapo wananchi wa Mpimbwe waliambiwa kuwa bei ya mahindi itaanzia shilingi 600 kwa kilo moja. Mhe. Rais Dkt. Samia amekuwa mkoani Katavi kwa siku tatu ambapo pamoja na miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo…