Rais Samia ahitimisha ziara yake Katavi kwa Kuzungumza na Wananchi wa Mpimbwe – MWANAHARAKATI MZALENDO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Mpimbwe katika Jimbo la Kavuu mkoani Katavi tarehe 15 Julai, 2024. Mhe. Rais Samia amehitimisha Ziara yake mkoani Katavi na Kuendelea na Ziara yake Mkoani Rukwa kwa kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo na kuzungumza na Wananchi.Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo…