Jinsi ya kushinda mamilioni ya Meridianbet, fanya hivi

  UNATAKA hela? Usijali Cheza Kasino ya Meridianbet michezo ya sloti ya kutoka Expanse itahusika kukupatia utajiri na mibonasi ya kasino. Jisajili hapa kisha anza safari ya ushindi. Mwisho wa promosheni ya Shindano la Expanse Kasino washindi 40, watagawiwa bonasi za kasino na pesa taslimu kwenye kaunti zao za Meridianbet. ZAWADI ZIKOJE?  Expanse Tournament inatoa…

Read More

Bunge jipya ya Ufaransa kukutana Alhamisi wiki hii – DW – 15.07.2024

15.07.202415 Julai 2024 Wabunge kadhaa wa chama cha muungano wa mrengo wa kushoto nchini Ufaransa wamesema,kwamba chama hicho kinalenga kunyakuwa nafasi ya spika wa bunge wakati bunge hilo litakapofunguliwa kwa mara ya kwanza alhamisi wiki hii. https://p.dw.com/p/4iJaq Muungano wa vyama vya mrengo wa shoto nchini Ufaransa.Picha: Frederick Florin/AFP/Getty Images Chama hicho kimesema kinataka kupata nafasi…

Read More

Utalii wa matibabu kuipaisha Tanzania

Dar es Salaam. Wakati Tanzania ikiendelea kuboresha sekta ya afya, wananchi kutoka mataifa mengine wamekuwa wakifunga safari kwa ajili ya utalii wa matibabu nchini, hususani ya moyo, figo na saratani. Takwimu za Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) zilizokusanywa kutoka Idara ya Uhamiaji zinaonyesha idadi ya watalii iliongezeka kwa asilimia 24.3 hadi kufikia 1,808,205 mwaka…

Read More

Waziri Mhagama, Awasha umeme Chihurungi

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama (Mb) Peramiho, akiwasha umeme katika kitongoji cha Shuleni kilichopo katika kijiji cha Chihurungi Halmashauri ya Songea. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama (Mb) Peramiho,akizungumza na wananchi wa Chihurungi na Parangu wakati wa ziara…

Read More