TETESI ZA USAJILI BONGO: Pondamali kuibukia Yanga
KIPA wa zamani wa Yanga na Taifa Stars, Juma Pondamali ‘Mensah’ yupo ukingoni kujiunga na Yanga Princess kama kocha wa makipa. Nyota huyo wa zamani ambaye pia aliwahi kuwa kocha inaelezwa hadi sasa kuna uwezekano mkubwa msimu ujao akaitumikia timu hiyo katika eneo hilo kutokana na uzoefu wake. Wakati huo huo Yanga Princess imetua kwa beki…