JAMII YAASWA KUENZI MILA YA UNYAGO ILI KULINDA MAADILI

Mkufunzi Dkt. Lovemore Mazibuko (kushoto) akimsikiliza mmoja wa washiriki aliyekuwa akitoa ufafanuzi wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wadau wa utamaduni kuhusu namna ya kuandaa orodha ya kitaifa ya urithi wa utamaduni usioshikika yaliyoandaliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) yaliyowakutanisha wataalamu kutoka wizara za Utamaduni na Sanaa Tanzania…

Read More

Tanesco kuboresha mita za Luku Kanda ya Mashariki

Dar es Salaam. Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) Kanda ya Mashariki, limewataka watumiaji wa mfumo wa Lipa Umeme Kadiri Unavyotumia (Luku) kufanya maboresho yanayoendelea kwenye mfumo huo, ili kuendelea kupata huduma hiyo. Maboresho hayo ambayo yataanza Julai 22 hadi Novemba 24, yanalenga kuendana na viwango vya mifumo ya Luku ya kimataifa na kuongeza ufanisi na…

Read More

Waziri Mhagama awasha umeme Chihurungi

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Jenista Mhagama, amewataka Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuhakikisha wanaweka mkakati mzuri wa kusaidia kusambaza umeme vijijini kwa taasisi za serikali na dini. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Jenista Mhagama (Mb), akizungumza na…

Read More

Crispin Ngushi apewa mmoja jeshini

ALIYEKUWA mshambuliaji wa Yanga, Crispin Ngushi amejiunga na kikosi cha Maafande wa Mashujaa ya Kigoma kwa mkataba wa mwaka mmoja. Ngushi aliyewahi kuichezea Mbeya City, amejiunga na Mashujaa akiwa mchezaji huru baada ya mkataba wake na Yanga kumalizika huku Coastal Union iliyokuwa inamtumia kwa mkopo msimu uliopita, ikishindwa kukubaliana naye maslahi binafsi ya kubaki naye….

Read More

Hizi hapa mbinu tatu uombaji sahihi wa vyuo vikuu

Dodoma. Wakati Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), ikitangaza kufunguliwa kwa dirisha la udahili kwa waombaji wa shahada ya kwanza kwa mwaka 2024/25, waombaji wametakiwa kuzingatia mambo matatu makubwa, ikiwemo mahitaji ya soko la ajira. Mambo mengine wanayotakiwa kuzingatia ni ubora wa vyuo na ufadhili wa masomo utakayoyasoma, ikiwemo kutoka vyuo vya nje ya nchi….

Read More